Blog

Home / Blog
Nafasi za masomo st teresia wa avila pre & primary school

Nafasi za masomo st teresia wa avila pre & primary school

St. Teresia wa Avila Pre & Primary School inapenda kuwakaribisha wazazi na walezi wote kuandikisha watoto wao kwa mwaka wa masomo 2025. Shule yetu ni ya kutwa, inayomilikiwa binafsi chini ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, na imejipambanua kwa utoaji wa elimu bora kwa watoto wa jinsia zote kuanzia awali hadi darasa la tano. Ngazi Zinazopatikana: Awali (Nursery/Pre-Unit) Darasa la 1 hadi la 5 Nafasi za kujiunga zipo wazi kwa watoto wa umri wa kuanzia miaka 3. Tunasajili wanafunzi wapya kwa ajili ya mwaka wa masomo wa 2025. Tunapokea wanafunzi kutoka dini, makabila, na asili mbalimbali. Sifa...