Category: St Teresia wa Avila

Home / St Teresia wa Avila
Nafasi za masomo st teresia wa avila pre & primary school
Post

Nafasi za masomo st teresia wa avila pre & primary school

St. Teresia wa Avila Pre & Primary School inapenda kuwakaribisha wazazi na walezi wote kuandikisha watoto wao kwa mwaka wa masomo 2025. Shule yetu ni ya kutwa, inayomilikiwa binafsi chini ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, na imejipambanua kwa utoaji wa elimu bora kwa watoto wa jinsia zote kuanzia awali hadi darasa...